Jina:
Nambari ya Simu:
Barua Pepe:
Swali la 1
Injili ya Mungu ilihaidiwa kwa nani?
Swali la 2
Injili ya Mungu yamhusu nani? (3-4)
Swali la 3
Waraka huu ameandikiwa nani? (7)
Swali la 4
Paulo aliwaombea warumi mara ngapi? (9)
Swali la 5
Ni sababu zipi tatu zilimsababisha Paulo aje kwao? (10-13)
Swali la 6
Paulo alikuwa ni mdeni wa nani? (14)
Swali la 7
Paulo alikuwa tayari kufanya nini? (15)
Swali la 8
Paulo hakuonea haya nini? (16)
Swali la 9
Mwenye haki ataishi kwa nini?(17)
Swali la 10
Gadhabu ya Mungu iko juu ya uasi na waovu? (18)
Swali la 11
Ni nini ambayo imekuwa ikionekana wazi tangu kuumbwa ulimwengu (20)
Swali la 12
Hata ingawa walimjua Mungu, watu asio mjua walifanya nini? (21)
Swali la 13
Watu wasio haki walifanya nini badala? (22-23)
Swali la 14
Mungu aliwapa nini katika tamaaza mioyo? (24-26,28)
Swali la 15
Watu waovu walibadili ukweli wa Mungu kwa nini? (25)
Swali la 16
Kwa nini watu wasio haki waliubadili matumizi alisi wa mwanamke? (27)
Swali la 17
Watu waovu walijiusisha katika matendo yapi? (29-31)
Swali la 18
Hata ingawa walijua hukumu ya haki ya Mungu walifanya nini? (32)