Jina:
Nambari ya Simu:
Barua Pepe:
Swali la 1
Matakwa ombi ya Paulo ilikuwa nini kwa Waisraeli? (1)
Swali la 2
Paulo alisema kuwa Waisraeli wana juhudi katika nini? (2-3)
Swali la 3
Neno la imani lastahili kuwa wapi? (8)
Swali la 4
Ni nani atakaye okolewa? (11-13)
Swali la 5
Imani uja kutoka wapi? (14-17)
Swali la 6
Musa alitabiri nini kilicho wakasirisha wana wa Israeli kwa wivu? (19-20)