Jina:
Nambari ya Simu:
Barua Pepe:
Swali la 1
Ni mifano gani Paulo alitoa kuonyesha kwamba Mungu hakuwacha/tupa nje waisraeli? (1-4)
Swali la 2
Ikiwa wuokovu ni kwa nehema, haiwezi tena kwa nini? (5-6)
Swali la 3
Ni nani waliokuwa wamepofishwa? (7-10,25)
Swali la 4
Paulo alikuwa mtume kwa nani? (13)
Swali la 5
Ni aina gani wa mti Paulo anafananisha nayo Israeli? (16-17)
Swali la 6
Watu wa mataifa walikujaje kuwa sehemu ya mti huu? (17-19)
Swali la 7
Kwa nini watu wa mataifa hawapaswi kuwa na kiburi? (20-21)
Swali la 8
Ni madhara gani mawili ya Mungu ambayo tunafaa kufikiria? (22)
Swali la 9
Ni nani atapandikizwa tena? (23-24,26-28)
Swali la 10
Kwa nini Waisraeli walipofushwa kwa sehemu? (25)
Swali la 11
Ni nini isiyo badilika? (28)
Swali la 12
Mungu alitaka kuonyesha huruma kwa nani? (30-32)
Swali la 13
Ni nini isiyogundulikana? (33-35)
Swali la 14
Utukufu ni wa nani milele? (36)