Jina:
Nambari ya Simu:
Barua Pepe:
Swali la 1
Paulo alitusihi tufanye nini? (1)
Swali la 2
Badala ya kufanana na dunia hii, yafaa tufanye Nina? (2)
Swali la 3
Tutafikiri gani? (3)
Swali la 4
Mungu amekabiliana na kila mmoja wetu kivipi? (3)
Swali la 5
Paulo alitumia mafafanuzi gani kuonyesha kwamba watu wote hawana garama ya ina moja katika kanisa? (4-5)
Swali la 6
Ni zawadi zipi za garama zilizogawanyika katika kanisa? (6-8)
Swali la 7
Ni jinsi gani tunapaswa kupenda? (9)
Swali la 8
Tunastahili kukasirikia nini? (9)
Swali la 9
Tunapaswa kuambatanisha nini? (9)
Swali la 10
Twapaswa kuwateteaje kila mmoja? (10)
Swali la 11
Je Paulo aliwapa ushauri gani mwingine? (11-13)
Swali la 12
Tunapaswa kuwabariki nani? (14-20)
Swali la 13
Tufurahi na kulia na nani? (16)
Swali la 14
Twapasa kuchangamana na nani? (16)
Swali la 15
Tunashinda uovu kwa njia gani? (17-21)
Swali la 16
Ikiwezekana iwapaswa kuishi namna gani? (18)
Swali la 17
Kisasi niya aina gani? (19)