Jina:
Nambari ya Simu:
Barua Pepe:
Swali la 1
Tumnyenyekee nani? (1,5)
Swali la 2
Tunazuia nini ikiwa tunazuia mamlaka iliyochaguliwa na Mungu? (2)
Swali la 3
Ni nini kusudi ya viongozi? (3-4)
Swali la 4
Ni vitu gani baadhii unaachilia kwa mamlaka ya utawala? (6-7)
Swali la 5
Kitu gani cha kipekee twapaswa kudaiwa? (8)
Swali la 6
Paulo aliitimisha namna gani sheria kulingana na uhusiano wetu na wengine? (9)
Swali la 7
Nini utimilifu wa sheria? (10)
Swali la 8
Ni lini tutakapoamka toka usingizini? (11)
Swali la 9
Ni nini tutupe nje? (12)
Swali la 10
Tunaweza kutembea aje? (13)
Swali la 11
Kwa ajili ya nini hatupaswa kuweka sheria? (14)