Jina:
Nambari ya Simu:
Barua Pepe:
Swali la 1
Ni tofauti gani baadhi ya Wakristo wanaishi kulingana na kula? 13)
Swali la 2
Tunasimama mbele ya nani? (4)
Swali la 3
Bahadhi ya wakristo utofautiana jinsi gani kulingana na kutunza siku maalum? (5-6)
Swali la 4
Ni nini kinachoonyesha kuwa sisi hatupo kisiwani wenyewe? (7-8)
Swali la 5
Tutasimama mbele ya hukumu ya nani? (9-12)
Swali la 6
Ni kitu gani hatupaswi kumtendea ndugu? (13)
Swali la 7
Najinsi ni kitu gani? (14)
Swali la 8
Ni kitu gani twapaswa kuwa waangalifu tusilifanye? (15,20-21)
Swali la 9
Ufalme wa Mungu ni nini? (17)
Swali la 10
Tutulie nini? (19)
Swali la 11
Nani anafuraha? (22)
Swali la 12
Ni kitu gani kinachukuliwa kama dhambi? (23)