Jina:
Nambari ya Simu:
Barua Pepe:
Swali la 1
Ni nini mwenye nguvu anapaswa kufanya? (1)
Swali la 2
Tusijaribu kumpendeza nani? (1-3)
Swali la 3
Tuna tumaini kwa njia gani? (4)
Swali la 4
Mungu anaelezeka namna gani? (5,13,33)
Swali la 5
Mataifa wanatumaini katika nani? (9-12)
Swali la 6
Mungu anapendelea kukujaza kwa nini? (13)
Swali la 7
Paulo alihubiri wapi? (19)
Swali la 8
Kwa nini Paulo aliamua kuhubiri mahali ambapo jina la Yesu halitajwapo? (20-21)
Swali la 9
Ni lini Paulo alipanga kutembelea kanisa la Rumi? (22-24,28)
Swali la 10
Kwa nini Paulo alikwenda Jerusalemu? (25-27)
Swali la 11
Jinsi gani Paulo aliamua kukuja kwa kanisa la Rumi? (29-32)
Swali la 12
Paulo aliomba maombi kwa ajili ya nini? (30-31)