Jina:
Nambari ya Simu:
Barua Pepe:
Swali la 1
Hukumu wa Mungu itakuwa kulingana na nini? (2)
Swali la 2
Wema wa Mungu umwongoza mtu kwa nini? (4)
Swali la 3
Ni nani atapokea uzima wa wa milele katika hukumu wa Mungu? (6-7)
Swali la 4
Ni nani atapokea hasira na ghadhabu, dhiki na shida wakati wa hukumu ya Mungu? (8-9)
Swali la 5
Ni wakati gani watu wa mataifa wanakuwa na sheria wenyewe? (14)
Swali la 6
Wayahudi walijivunia nini? (17,20,23)
Swali la 7
Ni swali lipi Paulo aliwauliza wayahudi? (21-22)
Swali la 8
Tohara inafaida wakati gani? (25)
Swali la 9
Myahudi wa kweli ni yupi? (28-29)
Swali la 10
Tohara ipi ambayo ni mhimu? (29)