Jina:
Nambari ya Simu:
Barua Pepe:
Swali la 1
Myahudi ana ziada gani? (1-2)
Swali la 2
Ni nani wa kweli na nani mwongo? (4)
Swali la 3
Wasingiziaji walisema, Paulo alisema nini? (8)
Swali la 4
Ni nani aliye chini ya dhambi? (9-18)
Swali la 5
Ni nani aliye na hatia mbele ya Mungu? (19)
Swali la 6
Ufahamu wa dhambi tunapatanga wapi? (20)
Swali la 7
Uhaki wa Mungu tunapata kutoka wapi? (21-22)
Swali la 8
Nani amefanya dhambi na kupungukiwa na utakafu wa Mungu? (23)
Swali la 9
Tunahesabiwa haki bure? (24-26)
Swali la 10
Ni nani amesabiwa kwa imani? (27-30)
Swali la 11
Je sheria imebadilishwa kwa imani? (31)