Jina:
Nambari ya Simu:
Barua Pepe:
Swali la 1
Ibrahimu alihesabiwa aje kama mwenye haki? (1-4)
Swali la 2
Daudi alisema kwamba nani amebarikiwa? (6-8)
Swali la 3
Je Ibrahimu alihesabiwa haki kabla ya kutahiriwa? (9-12)
Swali la 4
Ibrahimu alipokea ahadi kuwa atakua mrithi dunia namna gani? (13)
Swali la 5
Ni kitu gani Ibrahimu hakuweka maanani alipokuwa anapokea ahadi? (14)
Swali la 6
Ibrahimu alishawishiwa na nini? (21)
Swali la 7
Uhaki unaweza kuingizwa kwetu kwa njia zipi? (22-25)