Jina:
Nambari ya Simu:
Barua Pepe:
Swali la 1
Ni katika nini tunafurahia? (2)
Swali la 2
Ni katika nini tunatukuza? (3)
Swali la 3
Dhiki yazalisha nini? (3)
Swali la 4
Tumemininiwa nini katika mioyo yetu na Roho mtakatifu? (5)
Swali la 5
Yesu alitufia wakati gani? (6-8)
Swali la 6
Tunaokolewa kutokana na nini? (9)
Swali la 7
Maana ya upatanisho wetu ni nini? (10-11)
Swali la 8
Mtu mmoja aliingiza kitu gani ulimwenguni? (21,14-19)
Swali la 9
Mtu mmoja Yesu Kristo aliteta nini? (15-19)
Swali la 10
Polipo na dhambi nyingi kinachozidi ni nini? (20)
Swali la 11
Kama vile dhambi inavyotawala katika maali neema inatawala katika nini? (21)