Jina:
Nambari ya Simu:
Barua Pepe:
Swali la 1
Tunafa kuzidi kufanya dhambi ili neema iongezeke? (1-2)
Swali la 2
Tumezikwa na Kristo lina namna gani? (3-4)
Swali la 3
Kwa sababu Yesu alifufuliwa kutoka wafu yatupasa tutembe namna gani? (4)
Swali la 4
Kwa sababu gani binadamu wa zamani alisulubishwa naye? (6-7)
Swali la 5
Ikiwa tulikufa pamoja naye tuta amini nini? ((8-11)
Swali la 6
Ni kitu gani hatuwezi kuruhusu kutawala milini yetu
Swali la 7
Tutajitoleaje wenyewe kwa kumzalia Mungu? (13)
Swali la 8
Nyinyi ni watumwa wa kumtii nani? (16)
Swali la 9
Sasa tu watumwa wa nani ilhali hapo awali tulikuwa watumwa wa dhambi?(17-20)
Swali la 10
Ni matunda gani mlizaa kama matokeo ya utumwa ya dhambi? (21)
Swali la 11
Ni matunda gani mnazaa kama matokeo ya kuwa watumwa wa Mungu? (22)
Swali la 12
Mshahara wa dhambi ni nini? (23)
Swali la 13
Karama ya Mungu ni nini? (23)