Jina:
Nambari ya Simu:
Barua Pepe:
Swali la 1
Ni vielezo gani zinazoonyesha kwamba hatufungwi na sheria? (1-5)
Swali la 2
Paulo alitaja sheria ipi? (22-23,25)
Swali la 3
Je sheria ni dhambi?
Swali la 4
Ni nani ambaye tusingelijua kama haingelikuwa kwa sheria? (7)
Swali la 5
Amri ilileta kitu gani? (9-11)
Swali la 6
Dhambi ni jinsi gani ilipitia amri? (13)