Jina:
Nambari ya Simu:
Barua Pepe:
Swali la 1
Kwa nani pale ambapo hakuna hukumu? (1)
Swali la 2
Ni nini kilichotuweka huru kutoka kwa sheria ya dhambi na kifo? (2)
Swali la 3
Nani aliyehukumu dhambi katika mwili? (3)
Swali la 4
Jinsi gani tunatimiza mahitaji haki ya sheria? (4)
Swali la 5
Nini nia mbili zilizotegwa na matokeo ya kila moja? (6)
Swali la 6
Ni nani ambaye hawezi kupenda Mungu? (8)
Swali la 7
Inahitajika nini kuwa mmoja wake Kristo? (9)
Swali la 8
Ni nini Roho wa Yesu akaaye ndani yako atakufanyia? (11)
Swali la 9
Wana wa Mungu ni akina nani? (14)
Swali la 10
Roho anasuhudia nini? (16-17)
Swali la 11
Ni kitu gani kisicho na thamani ambacho akiwezi kuliganishwa naye ule utukufu utakaofunuliwa kwetu? (18)
Swali la 12
Viumbe pia watatolewa kutoka katika nini? (21)
Swali la 13
Kwa nini tunaungua? (23)
Swali la 14
Katika nini igine ambayo Roho utusaidia? (26)
Swali la 15
Vitu vyote ufanya kazi pamoja kwa uzuri kwa nani? (28)
Swali la 16
Mungu pia anawafanyia nini kwa wale ambao wanamtambwa? (29-30)
Swali la 17
Paulo alijibu aje swali “ikiwa Mungu yuko upande wetu, ni nani aliye juu yetu ?” (31-34)
Swali la 18
Ni vitu gani kumi na saba ambazo Paulo aliandika kwamba haziwezi kututenganisha na upendo wa Mungu? (35-36,38-39)
Swali la 19
Sisi ni nani katika vitu hizi kupitia yeye aliyetupenda? (37)