Jina:
Nambari ya Simu:
Barua Pepe:
Swali la 1
Ni kwa nini Paulo alikuwa na huzuni mwingi na ya maumivu? (1-5)
Swali la 2
Tu wana wa Mungu watokana na nani? (6-9)
Swali la 3
Mungu alisema nini kuhusu Yakobo na Esau kabla hawajazaliwa? (10 -13)
Swali la 4
Mungu huonyesha huruma wake kwa nani? (15-16,18)
Swali la 5
Mungu anafanya migumu mioyo wa nani? (17-18)
Swali la 6
Mafananuzi yapi yalitumiwa kuonyesha kwamba Mungu anaweza kufanya kama anavyoweza? (19-23)
Swali la 7
Mungu aliwaita nani nyongeza kwa wayahudi? (24)
Swali la 8
Paulo alinukuu nini kutoka Hosea? (25-26)
Swali la 9
Kulingana na Isaya, ni sehemu gani aye Waisraeli itakayokolewa? (27-28)
Swali la 10
Ni jinsi gani wa mataifa walihesabiwa haki? (30)
Swali la 11
Kuna nini Waisraeli hawakufikia uadilifu(haki)? (31-32)
Swali la 12
Katika nini Waisraeli walijikuwa? (32-33)